Tuesday, August 20, 2013

Change Logon Screen For Windows 7

Changing Windows 7 logon screen (Welcome screen) kwa kawaida si kazi ndogo. sasa ili kuifanya rahisi complex system leo hii tunakuletea software inayoitwa  “Windows 7 Logon Background Changer” ambayo inakurahisishia kazi yoote hii. Application hii ni open source ambayo inakupa uwezo wa kuchagua  folder ambalo ungependa kuweka background yako. inaonesha muonekano ule ule  ambao utakuwa umeuchagua na ku apply kwa background.



enjoy.

1 comment:

  1. Tunashukuru sana manake mimi na haya marangi ya blue siyapendi hata kidogo

    ReplyDelete

Popular Posts