Saturday, June 15, 2013

RECOVER DELETED FILES

Habarini ndugu zetu, karibu tena kwenye kujuzana mawili mawili matatu juu ya technolojia yetu. Leo tunajifunza namna ya kurudisha file zilizokuwa deleted kwenye device yako kama USB FLASH, HDD, EXTERNAL HDD...



Sasa Complex System tunakupatia Njia ya Software, kurudisha file kwenye device yako hata kama device imekuwa formatted.
Tunakupatia software inaitwa  "RECUVA" kwa ajili ya kurudisha file zako hata kama zilifutwa mda mrefu sana.

Huo ndo muonekano wa RECUVA software wakati wa ufanyaji wake wa kazi, jipatie software yako hapa hapa complex system.
waweza pata setup ya recuva katika page ya download hapa hapa complex system:

0 comments:

Post a Comment

Popular Posts